i. Umakini kwa Wateja
Watumishi wa WRBWB daima watatoa huduma bora kuzidi matarajio ya wateja
ii. Uwajibikaji
Watumishi wa WRBWB watafanya kazi zao kiushindani kwa weledi, uwajibikaji, kujituma na kwa uwazi wa hali ya juu.
iii. Uzalendo
Watumishi wa WRBWB wataunga mkono kwa dhati maslahi ya nchi na wajibu wao katika Sekta ya Maji
iv. Kutopendelea
Watumishi wa WRBWB watazingatia haki na usawa katika kutoa huduma na kushughulikia wateja