Ndugu mdau wa rasilimali za maji, unakaribishwa sana kwenye tovuti ya ‘Bodi ya Maji ya Bonde la Wami-Ruvu’. Tovuti hii Soma Zaidi
— Mkurugenzi
Sasa unaweza kupata huduma ya Excavator machine kwa gharama nafuu
Waziri wa Maji, Mh. Jumaa Aweso akishirikiana na viongozi wa Bodi ya Bonde la Wami/Ruvu kusafisha mto ili kuruhusu maji kupita kwa urahisi ili kuingia kwenye mto Ruvu na kupunguza mgao wa maji kwa wakazi wa Pwani na Dar es Salaam