1. Ushauri wa Kitaalamu juu ya uchimbaji wa Kisima
- Huduma hii inamwezesha Mteja kupata Usimamizi wa Wataalamu wakati wa uchimbaji wa kisima
2. Ushauri wa Kitaalamu juu ya ujenzi wa Bwawa
- Huduma hii inamwezesha Mteja kupata usimamizi wa Wataalamu wakati wa ujenzi wa Bwawa ili kukidhi viwango vinyavyohitajika
3. Ushauri wa Kitaalamu juu ya ujenzi wa banio la maji
- Huduma hii inamwezesha Mteja kupata usimamizi wa Wataalamu wakati wa ujenzi wa banio la maji ili kukidhi viwango vinyavyohitajika




