emblem
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Wizara ya Maji
Bodi ya Maji Bonde la Wami/RUVU
ega Logo
Habari
ega-svg-tree

Mwenge wa Uhuru Kitaifa 2026 umezindua Mradi wa uhifadhi wa chanzo cha Ruvu kupitia Ujenzi wa Miundombinu ya Usambazaji Maji katika Vijiji vya Mngazi na Dakawa, uliotekelezwa na kusimamiwa na Bodi ya Maji Bonde la Wami/Ruvu kwa lengo la kutimiza azma ya Serikali ya Awamu ya Sita ya kuwapatia wananchi huduma bora ya maji safi na salama vijijini. Mradi huu umehusisha uchimbaji wa visima viwili vyenye uwezo wa kuzalisha maji kati ya lita 24...

Soma Zaidi

Bodi ya Maji Bonde la Wami/Ruvu imewaonya wananchi na taasisi zinazochimba visima bila kufuata taratibu za kisheria kuwa zinakabiliwa na faini isiyopungua Shilingi milioni saba au kufikishwa mahakamani kwa mujibu wa sheria za usimamizi wa rasilimali za maji.   Onyo hilo limetolewa na Afisa Mazingira Bw. Rajabu Mwinyialipo wakati wa kikao cha utoaji elimu kwa watumia maji kilichofanyika Tarafa ya Hombolo, Wilaya ya Dodoma, kikihus...

Soma Zaidi

Bodi ya Maji ya Bonde la Wami/Ruvu imeendesha mafunzo maalum ya Mfumo wa Usimamizi wa Ubora (Quality Management System – QMS) yenye lengo la kuimarisha uwezo wa watumishi na kuwaandaa Wakaguzi wa Ndani kuelekea kupata ithibati (accreditation) ya kimataifa. Mafunzo hayo yamehusisha nadharia na ukaguzi kwa vitendo (practical auditing) ambapo washiriki wamepata fursa ya kufanya tathmini ya mifumo na taratibu za utendaji kazi ndani ya...

Soma Zaidi

Wataalamu wa Bodi ya Maji Bonde la Wami/Ruvu wamefanya tathmini ya kitaalamu katika visima vitatu vya maji vilivyopo ndani ya eneo la Bunge la Tanzania, jijini Dodoma, kwa lengo la kubaini hali ya visima na kuhakikisha vinaendelea kutoa huduma kwa ufanisi na usalama. Katika zoezi hilo, wataalamu hao walipima kina cha maji (water depth) katika visima hivyo vitatu ili kufahamu kiwango cha maji kilichopo, walifanya uchunguzi wa ubora wa maj...

Soma Zaidi
Mpangilio

slot gacor