emblem
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Wizara ya Maji
Bodi ya Maji Bonde la Wami/RUVU
ega Logo
Habari
ega-svg-tree

  Waziri wa Maji Mhe. Jumaa Aweso (Mb) amesema kuwa hadi kufikia mwezi Aprili, 2026 shughuli za usimamizi wa rasilimali za maji zimehusisha kujenga na kukarabati vituo 256 vya kufuatilia mwenendo wa rasilimali za maji, kutoa vibali 306 vya matumizi ya maji, vibali 40 vya ujenzi wa mabwawa ya topesumu, vibali vitatu (3) vya ujenzi wa mabwawa ya maji, vibali 1,177 vya kuchimba visima, vibali 247 vya kutiririsha majitaka, leseni 24 za...

Soma Zaidi

  Serikali kupitia Wizara ya Maji imetangaza kuendelea na utekelezaji wa miradi mikubwa ya kimkakati ya maji, ikiwemo ujenzi wa Bwawa la Kidunda, lenye thamani ya shilingi bilioni 329.7, kwa lengo la kumaliza changamoto ya upatikanaji wa maji katika Jiji la Dar es Salaam pamoja na mikoa ya Pwani na Morogoro.   Akiwasilisha bajeti ya Wizara ya Maji 2026/2027 Bungeni, Waziri wa Maji Jumaa Aweso amesema mradi huo ambao u...

Soma Zaidi

Waziri wa Maji Mhe. Jumaa Aweso (Mb) amesema Serikali itaendelea na utekelezaji wa Gridi ya Taifa ya Maji (National Water Grid), unaolenga kuunganisha vyanzo vikuu vya maji ikiwemo maziwa, mito mikubwa na mabwawa ili kuhakikisha wananchi wanapata huduma ya maji safi na salama katika maeneo yote ya nchi.   Akizungumza wakati akiwasilisha hotuba ya bajeti ya Wizara hiyo, Aweso amesema katika utekelezaji huo, Wizara imekamilisha usa...

Soma Zaidi

  Wizara ya Maji imekagua chanzo cha maji cha Makutupora ambacho kinategemewa katika jiji la Dodoma   Ukaguzi umeongozwa na watalaamu wa Idara ya Rasilimali za Maji kwa kushirikiana na Bodi ya Maji Bonde la Wami-Ruvu pamoja na Bodi ya Maji Bonde la Kati, ikiwa ni sehemu ya kuimarisha usimamizi na uendelezaji wa rasilimali za maji nchini. Lengo mahsusi limekuwa kuongeza ufanisi katika uhifadhi na matumizi endele...

Soma Zaidi

  Bodi ya Maji Bonde la Wami/Ruvu imeshiriki kikamilifu katika Maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani (Mei Mosi) yaliyofanyika kimkoa katika Wilaya ya Gairo mkoani Morogoro Leo tarehe 01 Mei 2026.   Maadhimisho hayo yamehudhuriwa na mgeni rasmi ambaye ni Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Adamu Malima, Katika hotuba yake amewataka watumishi wa umma na sekta binafsi kuendelea kudumisha mahusiano mazuri, mshikamano na ushirik...

Soma Zaidi
Mpangilio

slot gacor