Bodi ya Maji Bonde la Wami/Ruvu inawatakia heri ya miaka 62 ya Mapinduzi ya Zanzibar.

Bodi ya Maji Bonde la Wami/Ruvu inawatakia heri ya miaka 62 ya Mapinduzi ya Zanzibar

Bodi ya Maji Bonde la Wami/Ruvu inawatakia heri ya miaka 62 ya Mapinduzi ya Zanzibar

Wataalamu wa WRBWB, Kidakio cha Kinyasungwe kwa kushirikiana na Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dodoma (DUWASA) wamefanya kikao na wananchi wanaozunguka eneo la hifadhi ya maji chini ya ardhi la Makutupora kwa lengo la kujadili namna bora ya kuishi bila kuharibu mazingira na kuathiri ubora wa maji katika chanzo hicho. Miongoni mambo yaliyojadiliwa ni pamoja na usitishwaji wa shughuli zote za kibinadamu ndani ya hifadhi ya maji ikiwa...

WRBWB imefanya mkutano na wananchi wanaojihusishi na shughuli za kilimo kandokando ya Mto Ngerengere katika Mtaa wa Tuelewane Kata ya Lukobe,Halmashauri ya manispaa ya Morogoro. Mkutano huu umefanyika katika eneo la Ofisi ya Serikali ya Mtaa wa Tuelewane chini ya Mwenyekiti wa Serikali ya Mtaa huo ikiwa ni baada ya kubainika kwa uvamizi katika baadhi ya maeneo ya vyanzo vya maji ambapo baadhi ya wakulima wameanza kuandaa mashamba....

Ujenzi wa Bwawa la Maji Kidunda unatekelezwa kwa gharama ya shilingi za kiTanzania bilioni 336, ambapo mpaka sasa umefikia asilimia 40 ya utekelezaji na unatarajiwa kukamilika kufikia mwishoni mwaka 2026.

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt Mwigulu Nchemba leo tar 02 Januari 2026 ameshuhudia kazi inayoendelea ya Utekelezaji wa mradi wa ujenzi wa Bwawa la maji Kidunda unaotekelezwa na Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Wizara ya Maji chini ya usimamizi wa Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es salaam (DAWASA) ndio suluhisho la changamoto ya upungufu wa Maji unaotokana na kukosekana na mvua kwa wakati...