Huduma hii inamwezesha Mteja kupata ruhusa ya kupitisha miundombinu mtoni mfaHAKUNA mabomba ya mafuta, maji, madaraja. Pia inamwezesha Mteja kupata ruhusa ya kuondoa madini mchanga mtoni kwa lengo la kulinda kina cha mto na kurudisha mto kwenye njia yake




