Huduma hii inamwezesha Mteja kupata taarifa ya chanzo cha maji juu ya wingi wa maji, mabadiliko ya kiasi cha maji kutokana na majira, athari zinazoweza kutokea kuhusu mradi/shughuli husika na ushauri wa kitaalamu wa namna ya kutekeleza mradi/shughuli hiyo bila kuathirika.




