Huduma hii inamwezesha Mteja kupata data za mvua, wingi wa maji, kina cha maji, na kadhalika kwa ajili ya tafiti na elimu