emblem
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Wizara ya Maji
Bodi ya Maji Bonde la Wami/RUVU
ega Logo
Maswali Yaulizwayo Mara kwa Mara
ega-svg-tree

Nenda kwenye ukurasa wa mbele wa kuingia kwenye mfumo wako (Login page) na bonyeza kitufe cha Forget Password.

Weka baruapepe yako na kubonyeza kitufe cha wasilisha.

Mfumo utakutumia maelekezo ya namna ya kubadilisha nywila kupitia baruapepe yako.

Ingia kwenye akaunti yako ya baruapepe kwa ajili ya kupata uthibitisho na linki ya kukupeleka kwenye mfumo wa TSMS kwa ajili ya kubadili nywila.

Baada ya kujisajili kwenye mfumo wa TSM ujumbe utumwa kwenye baruapepe yako.

Fuata linki iliyotumwa kwenye baruapepe yako ili uweze kuamilisha (activate) akaunti yako ya TSMS na moja kwa moja utaweza kuingia kwenye akaunti yako.

Sababu

Tatizo la kuunganishwa na intaneti

Seva haipaikani kwa muda na matatizo ya mtandao yataweza kukatisha utaratibu mzima

Ufumbuzi:

Hakikisha mtandao uko imara

Kama tatizo linaendelea, kwa msaada zaidi wasiliana na msimamizi wa GMS wa taasisi yako

Sababu

Mtandao unashindwa kuunganishwa kwa haraka

Ukubwa wa jalada umzidi kiwango kinachoruhusiwa cha 20MB

Ufumbuzi

Njia ya 1

Kama tatizo linasababishwa na kasi ya uunganishaji;

Thibitisha kama tatizo ni kasi ya mtandao kwa kufungua mitandao mingine kama vile Google, yahoo n.k. Iwapo mitandao hiyo inafunguka kwa urahisi, basi kuna tatizo kwenye mtandao wako, kwa msaada zaidi wasiliana na msimamizi wa GMS wa taasisi yako

Kama mitandao mingine nayo haifunguki, tafuta mtandao wa intanet mbadala wa haraka. Kwa mfano tumia modem

Ambatisha tena jalada na tatizo litakwisha

Njia ya 2

Kama Ukubwa wa jalada umezidi kiwango kinachoruhusiwa;

Kama unatuma majalada mengi, yatume katika vikundi vidogovidogo, tatizo litakwisha

Kama unatuma jalada moja tu linalozidi kiwango kinachoruhusiwa (20 MB), punguza jalada kulingana na ukubwa ulioruhusiwa. Tumia mifumo tumizi ya kupunguzia kama vile WinRAR au ZIP. Kama hauna mifumo hiyo, kwa msaada zaidi wasiliana na msimamizi wa GMS wa taasisi yako

Ukikamilisha njia ya pili hapo juu, ambatisha tena jalada na tatizo litakwisha

Kama tatizo linaendelea, kwa msaada zaidi, wasiliana na msimamizi wa GMS wa taasisi yako

Sababu

Ama unatuma baruapepe kwa kikundi kisichoidhinishwa

Kunatokea alama kama vile -,*,> n.k kwenye uga wa anwani yako (To: Cc: or Bcc :)

Seva ya baruapepe imekataa kuhalalisha mpokeaji mmoja au zaidi

Ufumbuzi

Logua kwa kubofya kitufe cha “logua” na logia tena. Hatua hii itatanzua tatizo lako

.Kama tatizo linaendelea, kwa msaada zaidi wasiliana na msimamizi wa mfumo wa GMS katika taasisi yako.

Sababu

Inawezekana unakabiliwa na tatizo la mtandao kutounganishwa kwa haraka.

Kivinjari chako kinaweza kuwa kinarejea kwenye ukurasa wa wazi uliopita ambao tayari umehifadhiwa kwenye historia ya kivinjari na bado kina taarifa ileile ambayo imekwisha angaliwa kwa mara ya mwisho au imefunguliwa wakati mtandao una tatizo la kutounganishwa kwa haraka

Ufumbuzi

Njia ya 1

Logua (Logout) kwa kubofya kwenye kitufe cha logua

Logia (login) kwa kutumia kivinjari tofauti kwa mfano. Google Chrome, Mozilla Firefox etc.

Tafuta intaneti mbadala ya haraka kwa mfano unaweza kutumia modem na kulogia tena. Ukimaliza kuingiza jina na nywila ya mtumiaji, kivinjari kitabaini uunganishaji wa intaneti haraka na uga wa modi utaonesha otomatiki na bila shaka na ukurasa husika utafunguka na kuonesha michoro yote iliyowasilishwa.

Njia ya 2

Kama huna suluhisho mbadala, logia tena kwa kuingiza jina na nywila na bofya logia. Lakini kama ukurasa husika unafunguka na baruapepe zilezile zilizopangwa bila michoro, logua tena na ingiza jina la mtumiaji na nywila na kwenye uga wa modi chagua otomatiki halafu bofya kitufe cha logia.

Ukurasa wako utafunguka ukiwa na baruapepe zilizopangwa vizuri na michoro yote; kama bado, logua tena kwa kubofya kitufe cha logua

Njia ya 3

Logia tena kwa kuingiza jina la mtumiaji na nywila, na kwenye uga wa modi chagua otomatiki na utapata ukurasa wenye baruapepe zilizopangwa vizuri na michoro yote, kama haitatokea hivyo, kivinjari chako kitakuwa kimechukua taarifa za logia kutoka kwenye data zake

Kutanzua tatizo hili, wasiliana na msimamizi wako wa mfumo wa GMS wa taasisi yako ili akusaidie kushughulikia historia ya kivinjari (majalada yaliyoingia) halafu jaribu logia tena.

Zingatia: Iwapo baada ya jitihada zote hizo zilizotajwa hapo juu na bado GMS inafunguka na baruapepe zisizo na michoro, USIWE NA WASIWASI. Hili ni tatizo dogo ambalo hujitokeza wakati dirisha linapofunguka/ na kuonekana hivyo wakati mtumiaji anapojaribu kulogia kwenye GMS wakati akiwa na intaneti wakati wa uunganishaji wake unapokuwa chini. Itafunguka kama kawaida na michoro yote wakati intaneti itakapotulia/kuwa na kasi

Mpangilio