#wikiyahudumakwawateja

Huduma bora huanza kwa kusikiliza, kuelewa na kuchukua hatua.
Katika Wiki ya Huduma kwa Wateja, Bodi ya Maji Bonde la Wami/Ruvu inaendelea kuweka mbele mahitaji ya mteja kwa kuhakikisha anapata huduma bora, taarifa sahihi, maelekezo stahiki na majibu kwa wakati.
Kwa Wami/Ruvu, kwenda “The Extra Mile” ni zaidi ya kutoa huduma; ni kuhakikisha kila mteja anahudumiwa kwa heshima, weledi na moyo wa kumsaidia.
Mteja ni sehemu muhimu ya huduma yetu. Tupo kwa ajili yako!


