Mhe. Mhandisi Kundo Mathew akagua utekelezaji wa miradi mbalimbali ya maji Morogoro.

Naibu Waziri wa Maji Mhe. Mhandisi Kundo Mathew akipokea taarifa ya shughuli za uhifadhi wa Bwawa la Mindu kutoka kwa Mkurugenzi wa Bodi; Mha. Elibariki Mmassy ikiwa ni mwendelezo wa Ziara ya Kikazi Mkoani Morogoro.



