WAMI/RUVU YASHIRIKI MAADHIMISHO YA MEI MOSI GAIRO - MOROGORO.

Bodi ya Maji Bonde la Wami/Ruvu imeshiriki kikamilifu katika Maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani (Mei Mosi) yaliyofanyika kimkoa katika Wilaya ya Gairo mkoani Morogoro Leo tarehe 01 Mei 2026. Maadhimisho hayo yamehudhuriwa na mgeni rasmi ambaye ni Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Adamu Malima, Katika hotuba yake amewataka watumishi wa umma na sekta binafsi kuendelea kudumisha mahusiano mazuri, mshikamano na ushirik...








