emblem
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Wizara ya Maji
Bodi ya Maji Bonde la Wami/RUVU
ega Logo
Habari
ega-svg-tree

  Wananchi wa Kata ya Kikongo, Wilaya ya Kibaha, Mkoa wa Pwani, wamepatiwa elimu kuhusu umuhimu wa kulinda na kuhifadhi Bwawa la Kiembaemba lililopo Kitongoji cha Mwanabito, ili kuhakikisha rasilimali hiyo inatumika kwa uendelevu bila kuathiri mazingira. Mafunzo hayo yametolewa na Bodi ya Maji Bonde la Wami/Ruvu kwa kushirikiana na Mfuko wa Uhifadhi wa Mazingira Duniani (WWF), yakihusisha wakulima, wafugaji na wavuvi wanaoteg...

Soma Zaidi

Katika kuimarisha usimamizi na uhifadhi wa rasilimali za maji nchini, Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Maji na Mazingira imeendelea na ziara ya kutembelea na kukagua vituo vya ufuatiliaji wa mwenendo wa maji katika mito vinavyosimamiwa na Bodi ya Maji Bonde la Wami/Ruvu. Katika ziara hiyo, wajumbe wa Kamati wametembelea kituo cha kupima hali ya wingi wa maji katika Mto Ruvu, kilichopo eneo la Ruvu Kibungo, Halmashauri ya Wilaya ya Morogoro,...

Soma Zaidi

Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Maji na Mazingira imepongeza juhudi za Bodi ya Maji Bonde la Wami/Ruvu katika ujenzi wa mradi wa birika la kunyweshea mifugo katika Kijiji cha Sangasanga, Kitongoji cha Masanze na Lubungo, Wilaya ya Morogoro, unaolenga kulinda vyanzo vya maji dhidi ya uchafuzi na uharibifu unaotokana na shughuli za kibinadamu. Pongezi hizo zimetolewa na Kaimu Mwenyekiti wa Kamati hiyo Mhe. Patrick Mwalunenge (Mb), wakati wa z...

Soma Zaidi

  Bodi ya Maji Bonde la Wami/Ruvu imefanya ukaguzi wa mifumo ya kutibu majitaka katika kiwanda cha Watercom kilichopo Kisarawe II, Wilaya ya Kigamboni na kiwanda cha TPLCLC kilichopo Kata ya Wazo, Wilaya ya Kinondoni. Ukaguzi huo umelenga kutathmini utendaji, ufanisi na uwezo wa mifumo iliyowekwa na viwanda hivyo katika kutibu majitaka kabla ya kutolewa kwa vibali vya utiririshaji. Hatua hiyo inahakikisha kuwa majitaka yanayotoka...

Soma Zaidi
Mpangilio

slot gacor