emblem
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Wizara ya Maji
Bodi ya Maji Bonde la Wami/RUVU
ega Logo
Habari
ega-svg-tree

  Bodi ya Maji Bonde la Wami/Ruvu imeshiriki katika Mkutano 9 wa Mwaka wa Bodi za Maji za Mabonde Nchini (9th Annual General Meeting), uliofanyika tarehe 27 Januari 2026 mkoani Dodoma chini ya uratibu wa Wizara ya Maji, na kukutanisha viongozi wa Sekta ya Maji kwa lengo la kupitia taarifa za utekelezaji wa mipango ya usimamizi wa rasilimali za maji katika Mabonde mbalimbali, kujadili changamoto na mafanikio yaliyopatikana katika ute...

Soma Zaidi

Bodi kwa kushirikiana na Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania (TFS) Wilaya ya Mvomero pamoja na Ofisi ya Mkuu wa Wilaya ya Mvomero, wamefanikisha zoezi la upandaji wa miti zaidi ya 250 katika chanzo cha maji cha Mto Mahululu. Zoezi hilo limefanyika ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya siku ya kuzaliwa ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan tarehe 27-01-2026, kama ishara ya kuenzi juhudi zake katika kulinda mazingira na...

Soma Zaidi

Wataalamu wa WRBWB, Kidakio cha Kinyasungwe kwa kushirikiana na Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dodoma (DUWASA) wamefanya kikao na wananchi wanaozunguka eneo la hifadhi ya maji chini ya ardhi la Makutupora kwa lengo la kujadili namna bora ya kuishi bila kuharibu mazingira na kuathiri ubora wa maji katika chanzo hicho. Miongoni mambo yaliyojadiliwa ni pamoja na usitishwaji wa shughuli zote za kibinadamu ndani ya hifadhi ya maji ikiwa...

Soma Zaidi
Mpangilio

slot gacor