emblem
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Wizara ya Maji
Bodi ya Maji Bonde la Wami/RUVU
ega Logo
Habari
ega-svg-tree

    

Soma Zaidi

Waziri wa Maji Mhe. Juma Aweso amezitaka taasisi zote zilizo chini ya Wizara ya Maji kutumia ipasavyo rasilimali za maji zilizopo nchini ili kuhakikisha huduma ya maji safi na salama inawafikia wananchi katika kila kijiji kwa lengo la kutimiza maelekezo na dira ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan. Waziri Aweso ametoa wito huo leo Jijini Dar es Salaam wakati wa hafla fupi ya kumkaribisha Naibu Katibu M...

Soma Zaidi

Kamati ya Siasa ya Halmashauri kuu ya Chama cha Mapinduzi (CCM )Mkoa wa Morogoro imefanya ziara maalumu ya kutembelea na kukagua utekelezaji wa Ilani ya Chama cha Mapinduzi katika Sekta ya Maji ambapo wamekagua vyanzo vya maji na miundombinu ya uzalishaji na usambazaji wa maji Mkoani Morogoro. Akizungumza Katika Ziara hiyo Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Morogoro Bw. Joseph Masunga ameridhishwa na hali ya upatikanaji wa huduma ya majisafi na s...

Soma Zaidi

  WRBWB imeibuka kinara kwa kushika namba moja na kupokea tuzo 2 za Utendaji Bora wa Kazi (Best Performing Basin Water Board) pamoja na Tuzo ya Utoaji wa taarifa kuhusu tabiri za mafuriko (Best Perfoming in Flood Forecating) ikiwa ni ishara ya kutambua mchango unaofanywa na Wami/Ruvu katika usimamizi wa Rasilimali za maji miongoni mwa Bodi za maji za mabonde 9 Zilizopo nchini. Tuzo hizo zimekabidhiwa na Waziri wa Maji Mhe. J...

Soma Zaidi

  WRBWB imeshiriki katika Mkutano wa Saba wa Jukwaa la Taifa la Wadau wa Sekta Mtambuka katika Usimamizi wa Rasilimali za Maji (07th National Multisectoral Forum on Water Resources) lililofanyika mkoani Dodoma kwa lengo la kujadili masuala ya kimkakati yanayohusu usalama wa maji nchini. Mkutano huu umejadili sera,mikakati na teknolojia bunifu zitakazosaidia kuimarisha usalama wa maji kama nguzo muhimu ya ustawi wa...

Soma Zaidi
Mpangilio

slot gacor