Wami/Ruvu yamafanya usafi katika Mto Morogoro.

Kuelekea Katika maadhimisho ya Siku ya Mazingira Duniani, Bodi ya Maji Bonde la Wami/Ruvu na wadau mbalimbali wakiwemo waosha magari wamafanya usafi katika Mto Morogoro pamoja na kutoa elimu ya mazingira kwa jamii na wanafunzi wa shule mbalimbali, ikiwa ni sehemu ya juhudi za kulinda vyanzo vya maji na mazingira kwa ujumla. Akizungumza wakati wa zoezi hilo, Mhandisi Mazingira Abdallah Mshana, ametoa wito kwa wananchi kuacha kufanya shugh...








