WAMI/RUVU YATUNUKIWA TUZO MBILI ZA UTENDAJI KAZI BORA MIONGONI MWA MABONDE 9 YA MAJI NCHINI.

WRBWB imeibuka kinara kwa kushika namba moja na kupokea tuzo 2 za Utendaji Bora wa Kazi (Best Performing Basin Water Board) pamoja na Tuzo ya Utoaji wa taarifa kuhusu tabiri za mafuriko (Best Perfoming in Flood Forecating) ikiwa ni ishara ya kutambua mchango unaofanywa na Wami/Ruvu katika usimamizi wa Rasilimali za maji miongoni mwa Bodi za maji za mabonde 9 Zilizopo nchini. Tuzo hizo zimekabidhiwa na Waziri wa Maji Mhe. J...







