emblem
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Wizara ya Maji
Bodi ya Maji Bonde la Wami/RUVU
ega Logo
Habari
ega-svg-tree

Taarifa ya utabiri wa mafuriko inaonesha Kuna uwezekano wa ongezeko la wastani na Juu ya wastani la wingi wa maji katika baadhi ya mito ambalo linaweza kupelekea mafuriko katika kipindi cha kuanzia tarehe 28 Machi hadi 06 Aprili 2026.   Aidha Kwa mujibu wa utabiri umebainisha baadhi ya maeneo yanayotarajiwa kukumbwa na mafuriko ambay hi Kijji cha Ving’awe, Zombo Tindiga, Daraja la Mkundi, Mkata,Miyombo, Munisigara, Masanze,...

Soma Zaidi

Mhandisi Mwajuma Waziri, Katibu Mkuu Wizara ya Maji amezindua Warsha ya kujengewa uwezo kwa Timu za Utekelezaji wa Mradi wa Bonde la Mkondoa chini ya WRBWB wenye thamani ya kiasi cha Shilingi Bilioni 14 na Mradi wa Uboreshaji huduma ya maji na usafi wa mazingira katika vijiji 24 vya Ngerengere chini ya RUWASA wenye thamani ya Shilingi Bilioni 22.  Wakati akifungua Warsha hiyo amebainisha kuwa Miradi hii inaendana na Dira ya Maendeleo ya T...

Soma Zaidi

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Balozi Emmanuel Nchimbi amezindua Mfumo wa Utabiri wa Kiasi cha Maji kwenye mito nchini Tanzania. Uzinduzi huo umefanyika katika la Bwawa la Mindu Mjini Morogoro ambako amejionea namna Wizara ya Maji inavyoshiriki katika utunzaji, ulinzi na Uendelezaji wa Rasilimali za Maji. Akizungumza katika hafla hiyo fupi Mkurugenzi wa Bodi, Mhandisi Elibariki Mmassy amesema mfumo huo ni Moja ya jit...

Soma Zaidi

Kamati ya Bunge ya Maji na Mazingira imempongeza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kuidhinisha Shilingi Bilioni 335 ili kutekeleza mradi wa ujenzi wa Bwawa la Kidunda, mkoani Morogoro. Kamati hiyo ikiongozwa na Mwenyekiti wake, Mheshimiwa Jackson Kiswaga (Mb) imebainisha hayo mara baada ya kufanya ziara ya kikazi kutembelea na kukagua maendeleo ya ujenzi wa mradi huo wa mkakati wa Bwawa la Kidunda...

Soma Zaidi

Bodi ya Maji ya Bonde la Wami/Ruvu inaendelea na Maadhimisho ya Wiki ya Maji kwa kaulimbiu ya “Maji na Jinsia”, kwa kutekeleza shughuli mbalimbali zinazolenga utunzaji na uhifadhi wa rasilimali za maji katika Manispaa ya Morogoro. Katika Kuadhimisha Wiki Maji Bodi Imejikita katika Utoaji wa Huduma Maalum kwa Wananchi ikiwemo Upimaji wa Ubora wa Maji ya Visima, Utoaji wa Ushauri wa Kitaalamu kuhusu Matumizi sahihi ya Maji pamoja na...

Soma Zaidi
Mpangilio