emblem
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Wizara ya Maji
Bodi ya Maji Bonde la Wami/RUVU
ega Logo
Habari
ega-svg-tree

  Bodi ya Maji Bonde la Wami/Ruvu imeshiriki Mkutano wa Mwaka wa Wahandisi uliofanyika leo, Septemba 24, 2026, katika Ukumbi wa Mlimani City, jijini Dar es Salaam, ukiwa na lengo la kujadili masuala ya uhandisi na mchango wa wataalamu hao katika kukabiliana na changamoto za mazingira na mabadiliko ya tabianchi. Akizungumza katika mkutano huo akiwa Mgeni Rasmi, Waziri wa Ujenzi, Mhe. Abdallah Hamis Ulega, amewataka wahandisi n...

Soma Zaidi

  Bodi ya Maji Bonde la Wami/Ruvu imeendelea na zoezi la utambuzi wa watumiaji wa maji katika Kata ya Kikuyu Kusini, likiwafikia wananchi wa Mitaa ya Mkuyuni na Magorofani, ikiwa ni hatua ya kuimarisha usimamizi na ufuatiliaji wa matumizi ya rasilimali maji. Kupitia zoezi hilo, Bodi inawafikia wananchi moja kwa moja na kutoa elimu kuhusu taratibu za matumizi ya maji, ikiwemo umuhimu wa kuwa na vibali kwa matumizi yanayohitaji...

Soma Zaidi

  Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Mhe. Queen Sendiga kwa kushirikiana na Kamati ya Usalama ya Wilaya amefanya ziara ya kukagua maeneo yanayokabiliwa na hatari ya mafuriko wakati wa msimu wa mvua. Maeneo yaliyotembelewa ni pamoja na Kihonda, Azimio, Lukobe, Kwa Bwana Jela na Korongo la Tushikamane katika Manispaa ya Morogoro. Katika ziara hiyo Mkuu wa Mkoa ameipongeza Bodi ya Maji Bonde la Wami/Ruvu kwa juhudi za kurejesha mit...

Soma Zaidi

Bodi ya Maji Bonde la Wami/Ruvu imeandaa na kuwasilisha Taarifa ya Hali ya Wingi wa Maji katika Mto Ruvu, ikionesha kuwa wingi wa maji katika mto unatarajiwa kuendelea kuongezeka na kubaki juu ya wastani katika kipindi cha kuanzia Septemba 15 hadi 25, 2026. Taarifa hiyo imeandaliwa kwa kuzingatia mwenendo wa maji katika vituo vilivyopo ndani ya kidakio cha Ruvu, pamoja na utabiri wa hali ya mvua na joto uliotolewa na Mamlaka ya Hali ya H...

Soma Zaidi
Mpangilio

slot gacor