DIRA 2050
emblem
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Wizara ya Maji
Bodi ya Maji Bonde la Wami/RUVU
ega Logo
Habari
ega-svg-tree

  Bodi ya Maji Bonde la Wami/Ruvu inaendelea na zoezi la uchimbaji wa visima vya maji kwenye maeneo yote yenye changamoto ya upatikanaji wa huduma ya majisafi na salama hususani katika Jiji la Dar es salaam na Pwani ambapo kwa siku ya Leo limefanyika zoezi la ukaguzi wa kazi inayoendelea katika Mtaa wa Viziwaziwa, Wilaya ya Kibaha Mkoani Pwani. Uchimbaji huu unafanyika na mitambo inayomilikiwa na Bodi ambapo mpaka sasa maeneo...

Soma Zaidi

Bodi ya maji, Bonde la Wami/Ruvu katika jitihada za kuendelea kusimamia rasilimali za maji kwa ufanisi, zoezi la ufuatiliaji wa mwenendo wa maji chini ya ardhi limefanyika katika visima vikubwa vilivyopo eneo la Chanika- Kimbiji Kupitia uchukuaji wa takwimu katika visima vya EB2 na EB3, imebainika kuwa kina cha maji kimeongezeka kwa mita 0.6.   Ongezeko hili, kwa mtazamo wa kitaalamu wa Hydrogeologia linaashiria uwepo wa uwia...

Soma Zaidi

WRBWB imefanya kikao chake cha Kwanza cha Bajeti ya Bodi ya Saba leo tarehe 10 Aprili, 2026 kwa lengo la kupitia na kujadili Rasimu ya Bajeti ya Taasisi kwa Mwaka wa Fedha 2026/2027. Aidha Kikao hicho Muhimu kimewakutanisha Wajumbe wa Bodi pamoja na Menejimentiya WRBWB, ambapo wamepata fursa ya kuchambua kwa kina vipaumbele vya bajeti vinavyolenga kuboresha Usimamizi wa Rasilimali za Maji katika WRBWB.   Miongoni mwa mae...

Soma Zaidi

Taarifa va utabiri wa mafuriko unaonesha Kuna uwezekano wa ongezeko la wastani na Juu va wastani la wingi wa maji katika baadhi ya mito ambalo linaweza kupelekea mafuriko katika kipindi cha kuanzia tarehe 07 Aprili hadi 14 Aprili 2026 Kwa mujibu wa utabiri umebainisha baadhi ya maeneo yanayotarajiwa kukumbwa na mafuriko ambayo ni Kijiji cha Ving'awe, Zombo Tindiga, Daraja la Mkundi, Dumila, Gongo la Mboto, Mkata,Miyombo, Munisigara, Masanz...

Soma Zaidi
Mpangilio

slot gacor