DIRA 2050
emblem
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Wizara ya Maji
Bodi ya Maji Bonde la Wami/RUVU
ega Logo
Habari
ega-svg-tree

WRBWB imepanda miti 500 rafiki kwa maji pamoja na miti ya matunda katika eneo la Mto Msimbazi uliopo Mtaa wa Mogo, Kata ya Kipawa, Wilaya ya Ilala jijini Dar es Salaam, ikiwa ni sehemu ya maandalizi ya kuelekea Wiki ya Maji. Zoezi limeongozwa na Mgeni Rasmi Mheshimiwa John Mrema, Naibu Meya wa Jiji la Dar es Salaam ambaye pia ni Diwani wa Kata ya Kinyerezi. Viongozi wengine walioshiriki ni pamoja na Mwenyekiti wa WRBWB Nickson Lutenda,...

Soma Zaidi

WRBWB imeandaa na kuwasilisha utabiri wa wingi wa maji katika Mto Ruvu kwa kuzingatia vituo vilivopo katika idakio kwa kipindi cha kuanzia tarehe 12 hadi 22 Machi 2026 ambapo utabiri huu unalenga kuwezesha wadau wa Mto Ruvu katika sekta za Kilimo, Mifugo na Uvuvi, Ujenzi, Viwanda, Utalii na Mamlaka za Maji Safi na Usafi wa Mazingira kufahamu mwenendo wa wingi wa maji katika mto huo.   Utabiri huu umezingatia hali ya mvua na...

Soma Zaidi

Kuelekea katika maadhimisho ya Wiki ya Maji 2026, Bodi ya Maji Bonde la Wami/Ruvu imeendelea na zoezi la utoaji wa elimu kwa jamii kupitia vyombo mbalimbali vya habari ambapo kwa siku ya leo tumepata fursa ya kushiriki moja kwa moja katika kipindi cha Baragumu kinachoruka kupitia Chanel Ten pamoja na Kipindi cha Redio kupitia Magic Fm Akizungumza katika Kipindi hicho, Mwenyekiti wa Bodi ya Maji Bonde la Wami/Ruvu Bw. Nickson Lutenda amee...

Soma Zaidi

Taarifa ya utabiri wa mafuriko inaonesha kuna uwezekano wa ongezeko la Wastani na Juu ya wastani; la wingi wa maji katika baadhi ya mito ambalo linaweza kupelekea mafuriko katika kipindi cha kuanzia tarehe 11 Mach hadi 16 Mach, 2026, Aidha Kwa mujibu wa utabiri umebainisha baadhi ya maeneo yanayotarajiwa kukumbwa na mafuriko ambayo ni Kijiji cha Kibaoni, Malui, Tindiga, Magomeni-Kilosa, Kisala na Kijiji cha Kilimanjaro, Miyombo na Baadhi ya...

Soma Zaidi

Kuelekea Maadhimisho ya Wiki ya Maji Duniani, WRBWB leo Machi 10, 2026 imezindua rasmi zoezi la Upimaji na Kutibu Ubora wa Maji ya Visima bila malipo kwa Wananchi wa Manispaa ya Morogoro pamoja na maeneo yote yaliyo ndani ya mipaka ya Usimamizi wa Bonde la Wami/Ruvu. Uzinduzi wa zoezi hili Umefanywa na Mhe. Musa Kilakala Mkuu wa Wilaya ya Morogoro katika Hafla iliyohudhuriwa na Waheshimiwa Madiwani 39, Watendaji wa Kata 29, Kamati ya Sia...

Soma Zaidi
Mpangilio

slot gacor