emblem
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Wizara ya Maji
Bodi ya Maji Bonde la Wami/RUVU
ega Logo
Habari
ega-svg-tree

  Bodi ya Maji Bonde la Wami/Ruvu kwa kushirikiana, IUCN Tanzania na Manispaa ya Morogoro wameendelea kutekeleza zoezi la ugawaji wa miti ya matunda kwa wakazi wa Kata ya Mzinga Manispaa ya Morogoro.   Zoezi hilo pia limehusisha Taasisi za Elimu ikiwemo Shule ya Sekondari Konga na Shule ya Msingi Konga ambapo wanafunzi na walimu wamepatiwa miche hiyo kwa lengo la kuhamasisha utunzaji wa mazingira tangu ngazi ya shule....

Soma Zaidi

  Bodi ya Maji Bonde la Wami/Ruvu kwa kushirikiana na MORUWASA pamoja na World Waternet Leo Aprili 24, 2026 Wamekamilisha vikao vya Majumuisho vilivyodumu kwa siku tano vikilenga kujadili utekelezaji wa miradi mbalimbali inayotekelezwa kwa ushirikiano huo.   Katika vikao hivyo wadau wamepitia kwa kina taarifa za utekelezaji wa Miradi kwa awamu ya pili huku wakitathmini mafanikio, changamoto na masomo yaliyopatikana....

Soma Zaidi

Wizara ya Maji imefanya kikao cha pamoja na wawakilishi kutoka World Waternet, WRBWB pamoja na Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Morogoro (MORUWASA). Kikao hicho kimejikita katika kuimarisha ushirikiano kati ya taasisi hizo, hususan katika masuala ya uhifadhi wa mazingira kwenye vyanzo vya maji, ikiwemo Bwawa la Mindu ambalo ni chanzo kikuu cha maji kwa wakazi wa Mkoa wa Morogoro. Aidha, kikao kimeweka msisitizo katika kupan...

Soma Zaidi

  Bodi ya Maji Bonde la Wami/Ruvu inaendelea na zoezi la uchimbaji wa visima vya maji kwenye maeneo yote yenye changamoto ya upatikanaji wa huduma ya majisafi na salama hususani katika Jiji la Dar es salaam na Pwani ambapo kwa siku ya Leo limefanyika zoezi la ukaguzi wa kazi inayoendelea katika Mtaa wa Viziwaziwa, Wilaya ya Kibaha Mkoani Pwani. Uchimbaji huu unafanyika na mitambo inayomilikiwa na Bodi ambapo mpaka sasa maeneo...

Soma Zaidi

Bodi ya maji, Bonde la Wami/Ruvu katika jitihada za kuendelea kusimamia rasilimali za maji kwa ufanisi, zoezi la ufuatiliaji wa mwenendo wa maji chini ya ardhi limefanyika katika visima vikubwa vilivyopo eneo la Chanika- Kimbiji Kupitia uchukuaji wa takwimu katika visima vya EB2 na EB3, imebainika kuwa kina cha maji kimeongezeka kwa mita 0.6.   Ongezeko hili, kwa mtazamo wa kitaalamu wa Hydrogeologia linaashiria uwepo wa uwia...

Soma Zaidi
Mpangilio

slot gacor