UTABIRI WA HALI YA WINGI WA MAJI MTO RUVU KWA SIKU 10 ZIJAZO.

Wami/Ruvu imeandaa na kuwasilisha utabiri wa wingi wa maji katika Mto Ruvu kwa kuzingatia vituo vilivopo katika Kidakio kwa kipindi cha kuanzia tarehe 29 Mei hadi 07 Juni, 2026. Utabiri huu unalenga kuwezesha wadau wa Mto Ruvu katika sekta ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi, Ujenzi, Viwanda, Utalii na Mamlaka za Maji Safi na Usafi wa Mazingira kufahamu mwenendo wa wingi wa maji katika Mto Ruvu waweze kujua hali ya mwenendo wa wingi wa...







