TAKWIMU ZA KITAALAMU ZAONESHA KUIMARIKA KWA AKIBA YA MAJI CHINI YA ARDHI KIMBIJI.

Bodi ya maji, Bonde la Wami/Ruvu katika jitihada za kuendelea kusimamia rasilimali za maji kwa ufanisi, zoezi la ufuatiliaji wa mwenendo wa maji chini ya ardhi limefanyika katika visima vikubwa vilivyopo eneo la Chanika- Kimbiji Kupitia uchukuaji wa takwimu katika visima vya EB2 na EB3, imebainika kuwa kina cha maji kimeongezeka kwa mita 0.6. Ongezeko hili, kwa mtazamo wa kitaalamu wa Hydrogeologia linaashiria uwepo wa uwia...







