KATIBU MKUU WIZARA YA MAJI AZINDUA WARSHA YA UTEKELEZAJI MRADI WA BONDE LA MKONDOA MKOANI MOROGORO.

Mhandisi Mwajuma Waziri, Katibu Mkuu Wizara ya Maji amezindua Warsha ya kujengewa uwezo kwa Timu za Utekelezaji wa Mradi wa Bonde la Mkondoa chini ya WRBWB wenye thamani ya kiasi cha Shilingi Bilioni 14 na Mradi wa Uboreshaji huduma ya maji na usafi wa mazingira katika vijiji 24 vya Ngerengere chini ya RUWASA wenye thamani ya Shilingi Bilioni 22. Wakati akifungua Warsha hiyo amebainisha kuwa Miradi hii inaendana na Dira ya Maendeleo ya T...







