Ndugu mdau wa rasilimali za maji, unakaribishwa sana kwenye tovuti ya ‘Bodi ya Maji ya Bonde la Wami-Ruvu’. Tovuti hii Soma Zaidi
— Mkurugenzi
Waziri wa Maji Mhe. Jumaa Aweso ashiriki zoezi la urejeshaji wa Mto Ruvu katika njia yake ya asili.
Waziri wa Maji, Mh. Jumaa Aweso akishirikiana na viongozi wa Bodi ya Bonde la Wami/Ruvu kusafisha mto ili kuruhusu maji kupita kwa urahisi ili kuingia kwenye mto Ruvu na kupunguza mgao wa maji kwa wakazi wa Pwani na Dar es Salaam
Ujenzi wa Bwawa la Maji Kidunda umefikia asilimia 40 ya utekelezaji na unatarajiwa kukamilika mwisho wa mwaka 2026.